MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Antonie Griezmann amesema anatamani kuvaa jezi namba saba ndani ya klabu hiyo.
Griezmann amejiunga na Barca msimu huu kwa sasa anavaa jezi namba 17 na jezi namba saba awali ilikuwa inavaliwa na Philippe Coutinho.
“Natamani kuvaa jezi namba saba hapa Barcelona na kwa sasa nahisi kuikosa maana messsi hazichezwi, na nimemisi soka,”alisema staa huyo.
Post a Comment