IMEELEZWA kuwa staa wa Atlectio Madrid, Alvaro Morata ameanza kurejesha matumaini ndani ya kikosi hicho kutokana na afya yake kuimarika kwa kiasi kikubwa.
Morata alicheza akiwa na majeraha katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora dhidi ya Liverpool, Anfield.
Staa huyo aliumia nyonga hivyo akawa ametupwa nje kabla ya ligi kupigwa stop kutokana na mlipuko wa Virusi vya Corona.
Imeripotiwa kuwa Morata kwa sasa anaendelea vizuri akiwa chini ya uangalizi wa madaktari akiwa na program maalum za mazoezi ili kujiimarisha.
Taarifa ilisema kuwa: “Kwa sasa Morata anaendelea vizuri na majeraha yake akiwa nyumbani kama inavyofahamika janga la sasa la Corona.
Post a Comment