NOVATUS Dismas, kiungo wa Biashara United anaamini kuwa Simba na Yanga haziui kipaji cha mchezaji.

Nyota huyo amesema kuwa kikubwa kinachosababisha kipaji kupotea kwa mchezaji ni kushindwa kujilinda yeye mwenyewe.

"Hakuna timu ambayo inaua kipaji labda mchezaji mwenyewe aamue kushindwa kujilinda lakini timu hizo kubwa ni njia ya kutusua kwa wengi.

"Simon Msuva na Mbwana Samatta hawa ni miongoni mwa wale ambao wamepita timu hizo kubwa, kwa sasa wametusua," .

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.