LEO wachezaji na benchi la ufundi la Klabu ya Simba wamewasili kambini leo kwa ajili ya kujiaandaa na mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Kombe la Shirikisho.

Simba ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na kwa sasa ni vinara wakiwa na pointi 71.

Masuala ya michezo yalisimamishwa na Serikali kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaivurugavuruga dunia.

Juni Mosi masuala ya michezo kwa upande wa Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza na la Pili yanatarajiwa kuanza baada ya Serikali kuruhusu kwa kile walichoeleza kuwa hali ya maambukizi imepungua.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.