BREAKING: ROBO FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO, SIMBA V AZAM FC Admin 1:50 AM A+ A- Print Email MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Azam FC wamepangwa kumenyana na Simba kwenye mchezo wa robo fainali. Yanga itamenyana na Kagera Sugar kwenye hatua ya robo fainali. Sahare All Stars itamenyana na Ndanda FC.Namungo itamenyana na Alliance.
Post a Comment