HAWA hapa makocha ambao kabatini wana tuzo walizotwaa ndani ya Ligi Kuu Bara kabla ya Janga la Corona kuvurugavuruga dunia linavyotaka:-

Salum Mayanga wa Ruvu Shooting mwezi Agosti alitwaa tuzo ya Kocha Bora.

Patrick Aussems wa Simba alitwaa tuzo mwezi Septemba.
Zuber Katwila wa Mtibwa Sugar alitwaa tuzo mwezi Oktoba.

Arstica Cioaba Novemba alitwaa tuzo.

Charles Mkwasa wa Yanga alitwaa tuzo Januari.
Sven Vandenbroeck alikuwa wa mwisho kabla ya janga la Virusi vya Corona mwezi Februari.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.