HAPA ndipo timu ya Mbwana Samatta Aston Villa ilipokuwa imesimama kutokana na janga la Virusi vya Corona.
Ipo nafasi ya 19 baada ya kucheza jumla ya mechi 28 ndani ya Ligi Kuu England.
Kibindoni ina pointi zake 25 ilizopata baada ya kushinda mechi 7 na sare 4.
Kichapo imepokea kwenye jumla ya mechi 16 na ina jumla ya mabao ya kufunga 34.
Nafasi ya 20 ipo kwa Norwich City ambao wao wana pointi 21baada ya kucheza mechi 29.

Post a Comment