JUMA Pondamali aliyekuwa kocha wa makipa wa Yanga amesema kuwa anaidai timu hiyo.

Pondamali amesema kuwa anaida Yanga toka miaka ya 70 na masuala hayo yanajulikana na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF).

"Ninaidai Yanga na haijanisaidia kitu mpaka sasa toka miaka ya 70 hilo lipo wazi na TFF wanajua sijawahi kupewa gari wala nyumba na Yanga," amesema

Chanzo:E.FM

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.