HAWA hapa walisepa na tuzo za Ligi Kuu Bara kabla ya Janga la Corona kufanya vurugu zake linavyotaka:-

Meddie Kagere wa Simba alitwaa tuzo mwezi Agosti.

Miraj Athumani wa Simba alitwaa tuzo mwezi Septemba.


Jafary Kibaya wa Mtibwa Sugar alitwaa tuzo mwezi Oktoba.

Wazir Junior alitwaa tuzo mwezi Novemba yupo Mbao.

Francis Kahata alitwaa tuzo mwezi Desemba yupo Simba.

Sadallah Lipagile alitwaa tuzo mwezi Januari anakipiga KMC.


Vitalis Mayanga wa Ndanda alitwaa tuzo mwezi Februari

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.