Jurgen Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool aliibukia ndani ya kosi hilo msimu wa wa 2015 akitokea Klabu ya Borussia Dortmund.

Alidumu ndani ya Dortmund kutoka msimu wa 2008-2015 ambapo aliibukia kwenye timu hiyo akitoka ndani ya timu ambayo aliwahi kucheza zama zake akiwa mchezaji.


Alicheza ndani ya Klabu ya Mainz 05 msimu wa 1990-2001 na alicheza jumla ya mechi 325 nafasi yake ni mshambuliaji na beki pia anaweza kucheza na alifunga jumla ya mabao 52

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.