MALALE Hamsini amejiunga na Polisi Tanzania leo  kuendeleza gurudumu la kuinoa timu hiyo akichukua mikoba ya Seleman Matola ambaye anatajwa kujiunga na Simba.

Malale alikuwa na Ndanda FC na alipigwa chini kutokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo amejiunga kuchukua mikoba ya Matola ambaye jana Desemba tano uongozi ulikubali ombi lake la kuvunja mkataba na kikosi hicho.
 
Hamsini ametambulishwa Jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa timu ya Polisi Tanzania Kamishna Charles Mkumbo.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.