TANZIA: MZEE AKILIMALI AFARIKI DUNIA Admin 11:41 PM A+ A- Print Email Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahim Akilimali, amefariki duniania leo. Akilimali amefariki akiwa Bagamoyo, Pwani baada ya kuumwa kwa muda mrefu. Taarifa zaidi juu ya msiba tutakupatia hapa Saleh Jembe, endelea kuwa nasi.
Post a Comment