Baada ya uongozi wa Yanga kuahidi kuwa kufikia Ijumaa ya wiki iliyopita majira ya saa 10 jioni watakuwa wamemaliza kulipa madeni yote ya wachezaji wanaodai, taarifa za ndani zinaeleza bado mambo hayajawa sawa.

Kwa mujibu wa Ofisa Uhamasishaji ndani ya timu hiyo, Antonio Nugaz, alisema kauli hiyo wiki jana lakini inaonekana hakuna chochote kilichofanyika hivi sasa.

Yanga inadaiwa madeni na wachezaji kadhaa ikiwemo wale waliovunja mikataba yao ambapo mmoja wao ni Juma Balinya.

Aidha, mbali na Balinya, Mrisho Ngassa naye inalezwa kuwa mmoja wa wachezaji ambao wanadai ndani ya klabu hiyo ikiwemo fedha zake za usajili

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.