Timu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ leo Desemba 19, 2019 imefungwa goli 2-1 na timu Taifa ya Kenya katika mchezo wa kutafuta Mshindi wa tatu katika mashindano ya Chalenji nchini Uganda na kutoka mikono mitupu.

Katika mchezo huo ulioanza saa 7:00 mchana, Kenya  walitumia vyema makosa binafsi ya wachezaji wa Stars, kuweza kupachika mabao hayo.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.