Mchezaji mkongwe wa klabu ya Yanga, Mrisho Ngassa, jana amezua hofu kubwa mitandaoni kufuatia kauli yake aliyoiandika kunako mtandao wake wa Instagram.
Ngassa aliandika maelezo ambayo yaliwachanganya wengi na kuwafanya kutafakari juu ya kauli yake ambapo wengi walionekana kuamini kuwa anaondoka na wengine wakiwa hawaielewi.
Hiki ndicho alichokiandika Ngassa kunako ukurasa wao wa Instagram.
Post a Comment