Sven Vanderbroeck Mbelgiji aliyewahi kufundisha timu ya Taifa ya Zambia ndio kocha mpya wa mabingwa wa soka wa taifa hili Simba SC.
.
Kocha huyo kijana pia alishinda Ubingwa wa Afrika (AFCON) akiwa Kocha Msaidizi za timu ya taifa ya Cameroon mwaka 2017.
.
Klabu inaamini kocha Sven ataleta matokeo chanya kwetu na inaahidi kumpa kila ushirikiano ili kutimiza malengo ya klabu yetu
.
.
Klabu inaamini kocha Sven ataleta matokeo chanya kwetu na inaahidi kumpa kila ushirikiano ili kutimiza malengo ya klabu yetu
Post a Comment