Kocha Ole Gunnar Solskjaer amesema kwamba kiungo Paul Pogba hatoondoka Manchester United mwezi Januari 2020.
Pogba amecheza mechi 6 tu msimu huu mpaka sasa katika kikosi cha Man United tangu alipoumia kifundo cha mguu mwezi Septemba mwaka huu.
Pogba amekuwa akihusishwa na kuhamia Real Madrid lakini Ole amesisitiza kwamba kiungo huyo wa kimataifa wa Ufaransa atabaki Old Trafford msimu huu
Post a Comment