Uongozi wa klabu ya Yanga umeamua rasmi kuvunja mkataba na mchezaji, mshambuliaji Juma Balinya kutoa Uganda.
Maamuzi hayo yamekuja kufuatia makubaliano ya pande zote mbili juu ya kuvunja mkataba huo.
Licha ya makubaliano hayo, taarifa za ndani zinaeleza Balinya alidhamiria kuondoka mwenyewe Yanga kutokana na kutolipwa fedha zake za mshahara kwa muda wa miezi mitatu.
Mbali na Balinya, wachezaji wengine ambao wanatajwa kuondoka ni David Molinga, Sadney Urikhob ambaye tayari ameshasepa muda na Sadney Urikhob
Post a Comment