INAELEZWA kuwa uongozi wa Yanga kwa sasa upo kwenye hatua za mwisho kumalizana na mshambuliaji kutoka Ivory Coast, Ghislain Yikpe Gnamien.
Habari zinaeleza kuwa mabosi wa Yanga wamamua kuongeza nguu kwenye safu ya ushambuliaji ili kupata matokeo chanya wanayohitaji.
Nyota huyo alikuwa anakipiga na Gormahia ya Kenya amevunja mkataba na timu yake anatarajiwa kutua nchini leo kumalizana na Yanga
Post a Comment