FEBRUARI, Mosi, leo Jumamosi, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kurindima kwenye viwanja mbalimbali kwa mechi kali hizi hapa za VPL:-
Namungo v Mbao, Majaliwa.
Ndanda v Alliance, Nangwanda.
Kagera Sugar v Singida United, Kaitaba.
Biashara V Mwadui, Karume.
Ruvu v Lipuli, Isamuhyo.
Prisons v KMC, Jamhuri.
Simba v Coastal Union, Uhuru.
Mbeya City v Azam, Samora
Post a Comment