KIKOSI cha Azam FC kilicho chini ya Kocha Mkuu, Arstica Cioaba raia wa Romania jana kimelazimisha sare ya bila kufungana na timu ya Kagera Sugar.
Mchezo huu wa sita kwa Azam FC ulipigwa kwenye uwanja wa Chamazi Complex.
Huu unakuwa mchezo wa pili kwa Cioaba kukaa kwenye benchi na jana ameambulia sare baada ya mchezo wa kwanza kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting uwanja wa Mabatini.
Matokeo haya yanaifanya Azam FC kuwa nafasi ya 14 ikiwa na pointi zake 10 huku Kagera Sugar ikiwa nafasi ya pili ina pointi 17 baada ya kucheza mechi 9.

Post a Comment