Kocha ambaye jina lake likitajwa tu mashabiki wa Yanga wanashtuka, Mwinyi Zahera ametua nchini usiku wa kuamkia jana Jumatano.

Zahera tofauti na alivyozoeleka juzi alikuwa amepiga uzi mwekundu wa timu ya Taifa ya DR Congo na baadhi ya mashabiki waliokuwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere aliwagawia.

Yanga wamekuwa hawataki kumsikia Zahera kwa madai kwamba anavujisha siri zao kwenye vyombo vya habari. Spoti Xtra linajua kwamba kocha huyo ana ofa tatu mezani kwake ingawa amegoma kuweka wazi majina ya timu mpaka atakapomalizana na Yanga wiki ijayo.

Lakini habari zingine zimekuwa zikimhusisha na Simba na inadaiwa kwamba walimhamisha kutoka kwenye jumba alilokuwa akiishi maeneo ya ufukwe wa Kawe na kumpangishia katika hoteli ya kifahari ya  YANGA wamelielekeza benchi la ufundi na wachezaji kuwashukia Alliance kwelikweli jijini hapa kesho Ijumaa. Viongozi wamepania kipigo hicho cha sapraizi ili kuwashtua watani wao Simba wanaokutana nao Januari 4 mwakani.

Lakini vilevile kocha amewaahidi kutopoteza mchezo huo pamoja na kuwafanyia sapraizi Simba watakapokutana nao mwakani licha ya gharama ya vikosi hivyo kutofautiana. Baada ya mchezo wa kesho Ijumaa, Yanga haitacheza tena mpaka itakapokutana na mwenyeji wao Simba kwenye Uwanja wa Taifa ikiwa chini ya kocha mpya kwani Patrick Aussems anasepa

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.