Klabu ya Liverpool inaweza kumkosa nyota wao Mohamed Salah mwanzoni mwa msimu 2020-21 baada ya timu ya taifa ya Misri kufuzu kucheza Olimpiki 2020.

Timu ya taifa ya Misri chini ya miaka 23 imefanikiwa kufika fainali ya michuano ya AFCON U23 na hivyo kupata nafasi kushiriki Olimpiki 2020 jijini Tokyo.

Michuano hiyo itachezwa kuanzia Julai 22 mpaka Agosti 8 mwakani.

Misri itaruhusiwa kuchukua wachezaji watatu juu ya umri wa miaka 23 na Mohamed Salah ni moja ya wachezaji waonaotajwa wanaweza kuwepo katika kikosi hicho

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.