Wakati kocha Maurcio Pochettino na benchi lake la ufundi wanafukuzwa katika klabu ya Tottenham Hotspur Jumanne Novemba 19, wachezaji walikuwa katika majukumu ya timu za Taifa.
“Ahsante kubwa kwenu nyote ! Hatuwezi kusema kwa heri....Siku zote mtakuwa katika mioyo yetu” ulieleza ujumbe huo
Post a Comment