Imeripotiwa kuwa Shirikisho la soka DR Congo limemfungia mchezaji, Meshack Elia wa TP Mazembe mbaye ni raia wa taifa hilo kutojihusisha na mchezo wa soka kwa muda wa mwaka mmoja.

Maamuzi hayo yamekuja kufuatia Elia kuvunja taratibu za usajili kwa kujiunga na klabu ya Anderletch inayoshiriki Ligi Kuu Ubelgiji bila ridhaa ya Mazembe.

Maamuzi ya mchezaji huyo yaliwafnaya Mazembe kumshitaki mchezaji huyo kunako shirikisho la soka nchini kwao na ndipo likachukua maamuzi ya mfungia mwaka mmoja.

Taarifa imesema mara baada ya kufungiwa, Elia alitimkia nchini Uswisi ambapo anaishi huko hivi sasa.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.