Kiungo wa zamani wa Yanga na Simba, Haruna Niyonzima, ameibuka na kusema tayari ameshazungumza na mabosi wa Yanga juu ya kukamilisha dili la usajili.
Niyonzima ambaye anakipiga AS Kigali hivi sasa ya huko kwao Rwanda, ameeleza kuwa yeye atakuwa tayari kujiunga na Yanga endapo wakishaelewana juu ya kitu ambacho anakihitaji.
"Kuna viongozi wawili wa Yanga nimekutana nao na tumezungumza.
"Lakini siyo hao tu kuna wengine kutoka kwenye klabu mbili za Tanzania wamekuja na tumefanya mazungumzo.
"Kwangu mimi ninachoangalia nani amekubali ninachotaka ili niweze kuitumikia klabu yake.
Post a Comment