HARRY Redknapp, Kocha mkongwe amesema kuwa hatarajii kuziona Arsenal na Manchester United zikimaliza nafasi ya nne bora kwenye Premier League msimu huu.
Arsenal na United zote hazikumaliza ndani ya top 4 msimu uliopita baada ya kumaliza nafasi ya tano Kwa Arsenal na Sita Kwa United msimu uliopita.
Msimu huu pia timu hizo zimeanza Kwa kusuasua hadi sasa zikiwa mbali na nafasi za juu.
Arsenal hadi sasa ni ya sita kwenye Msimamo ikiwa pointi nane nyuma ya timu iliyo nafasi ya nne Manchester City wakati kwa upande wa Manchester United wapo nyuma kwa pointi moja.
"Tottenham Hotspur wana kila sababu ya kuwemo ndani ya top 4 msimu huu, kitu kizuri kinachowabeba ni kwamba Arsenal inaonekana dhaifu sana.
"Chelsea inafanya vizuri wanakwenda kuwania ubingwa Leicester City nao wanakwenda vizuri lakini unaingalia Arsenal na Manchester United na kujiuliza kama kweli zinakwenda kumaliza ndani ya nne bora naona kabisa timu zote hazitamaliza katika nne bora labda kuwe na mabadiliko makubwa," amesema

Post a Comment