Baada ya Mwinyi Zahera kupigwa chini, inaelezwa  Kocha wa As Vital ya DR Congo, Frolent Ibenge, ameingia kwenye rada za kuchukua nafasi ya Zahera.

Kocha ameanza kuhusishwa na tetesi hizo kufuatia kufanya vizuri akiwa na Vital ambayo inashiriki Ligi Kuu Congo.

Ibenge ambaye ni Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Congo, amekuwa akifanya na Zahera kama Msaidizi wake katika kikosi cha taifa hilo.

Licha ya taarifa hizi kuenea, uongozi wa Yanga umeshindwa kuzizungumzia na badala yake umesisitiza kuwa mpaka muda mwafaka ufikie wataweza kuzungumzia mbadala wa Zahera,

Kwa sasa kikosi cha Yanga kimekuwa chini ya Kaimu Kocha ambaye ni Boniface Mkwasa

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.