Mshambuliaji wa kimataifa wa Rwanda na klabu ya Simba, Meddie Kagere, amechaguliwa katika orodha ya wanasoka wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) 2019 kwa Ligi za ndani.

Mbali na Kagere, aliyekuwa Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi Raia wa Uganda ambaye kwa sasa ni mchezaji wa Ittihad Alexandria naye yumo kwenye orodha hiyo.

Sherehe za tuzo hizo zitafanyika Januari 7, 2020 nchini Misri.

ORODHA KAMILI YA WAPINZANI WA OKWI NA KAGERE, HII HAPA

1. Ali Maaloul - Tunisia & Al Ahly.
2. Anice Badri - Tunisia & Esperance.
3. Denis Onyango - Uganda & Mamelodi Sundowns.
4. Emmanuel Okwi - Uganda & Simba.
5. Ferjani Sassi - Tunisia & Zamalek.
6. Fousseny Coulibaly - Cote d'Ivoire & Esperance.
7. Franck Kom - Cameroon & Esperance.
8. Herenilson - Angola & Petro de Luanda.
9. Ismail El Haddad - Morocco & Wydad Casablanca.
10. Jean Marc Makusu - DR Congo & AS VITA.
11. Kodjo Fo Doh Laba - Togo & RS Berkane / Al Ain.
12. Mahmoud Alaa - Egypt & Zamalek.
13. Meddie Kagere - Rwanda & Simba.
14. Meschack Elia - DR Congo & TP Mazembe.
15. Taha Yassine Khenissi - Tunisia & Esperance.
16. Tarek Hamed - Egypt & Zamalek.
17. Themba Zwane - South Africa & Mamelodi Sundowns.
18. Trésor Mputu - DR Congo & TP Mazembe.
19. Walid El Karti - Morocco & Wydad Casablanca.
20. Youcef Belaïli - Algeria & Esperance / Ahli Jeddah.


Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.