Home
Unlabelled
MAKUNDI YA CECCAFA SENIOR CHALLENGE YATAJWA, ZANZIBAR KUKIPIGA NA TAIFA STARS
Wakati michuano ya CECAFA ikitarajiwa kuanza 07/12/2019 hadi 19/12/2019, haya hapa makundi ambayo yamepangwa kuelekea mashindano hayo.
📌KUNDI AUganda 🇺🇬 Burundi 🇧🇮 Ethiopia 🇪🇹 Eritrea 🇪🇷
📌KUNDI B
DR Congo 🇨🇩Sudan 🇸🇩 South Sudan 🇸🇸 Somalia 🇸🇴
📌KUNDI C
Kenya 🇰🇪 Tanzania Bara 🇹🇿 Djibouti 🇩🇯 Zanzibar 🇹🇿
Post a Comment