Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Simba Sports Club Limited imemteua Mwina Kaduguda kuwa Kaimu Mwenyekiti akichukua nafasi ya Swedy Mkwabi aliyejiuzulu.
Uteuzi huo umeanza jana November 19. Pia Bodi hiyo imemteua Salim Abdalah 'Try Again' kuwa Makamu Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya klabu ya Simba.
Post a Comment