Home
Unlabelled
Kocha Simba Atimuliwa Wachezaji Wafanya Mazoezi Kinyonge na Kocha Msaidizi
KOCHA wa Simba, Patrick Aussems ameendelea kutumikia adhabu yake huku kikosi chake kikijifua kwenye Viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam.Mazoezi hayo yamefanywa chini ya msaidizi wake, Denis Kitambi ambaye alijikita zaidi katika kuwapa wachezaji mazoezi ya kumiliki mpira na kufunga.
Post a Comment