NAHODHA wa zamani wa Arsenal, Granit Xhaka amesema kuwa bado anahitaji kubaki ndani ya timu hiyo licha ya kuwazingua mashabiki wake.

Xhaka aliwatolea lugha isiyo ya kiungwana mashabiki wa Arsenal mwezi mmoja uliopita wakati timu yake ikilazimisha sare ya kufungana mabao 2-2 na Crystal Palace.

Xhaka amesema kuwa bado anahitaji kubaki ndani ya Arsenal kwani ana mkataba na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England.

"Bado nina mkataba na Arsenal na nitafurahi kuendelea kubaki ndani ya klabu yangu kwani nami nina malengo pia ya hapo baadaye," amesema.

 Kumekuwa na taarifa kwamba nyota huyo ana mpango wa kusepa ndani ya klabu hiyo baada ya kuambiwa kwamba hana namba ndani ya kikosi hicho na Unai Emery ambaye ndiye meneja aliyempa kitambaa cha unahodha Auba

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.