Kikosi cha timu ya taifa ya Kenya cha wanawake kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania.

Ushindi huo umepatika leo kunako Uwanja wa Azam katika michuano ya CECAFA ikiwa ni mchezo wa fainali.

Ushindi huo umewapata Kenya taji la Cecafa ambalo lilikuwa linatetewa na Tanzania ama Kilimanjaro Queens.

Mabao ya Kenya yamewekwa kimiani na Jentrix aliyeingia kambani mara mbili huku moja akifunga kwa njia ya penati.

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.