IMEFUNIKWA! Ndiyo msemo unaoweza kutumia sasa kufuatia klabu ya Simba kutoa wachezaji wawili ambao wapo katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya mchezaji bora ndani ya bara Afrika.

Simba imetoa wachezaji hao ambapo mmoja ni Meddie Kagere na Emmanuel Okwi ambaye kwa sasa anapiga soka lake uarabuni.

Okwi ameingia kwenye orodha hiyo baada ya kung'ara kunako michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika akiwa na kikosi cha Simba.

Hii ni mara ya kwanza kwa Simba kutoa wachezaji ndani ya orodha hiyo CAF wanaowania uchezaji bora ndani ya bara la Afrika ambapo wamewafunika watani zao wa jadi Yanga ambao hawajafanikisha hilo

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.