Mchezaji wa Chelsea Victor Moses, amejiunga na klabu ya Inter Milan kwa mkopo wenye kipengele cha kununuliwa jumla.
Moses atajiunga na kocha wake wa zamani Antonio Conte, ambaye alikua naye Chelsea kwenye msimu wa 2016-17 waliponyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.
Post a Comment