UONGOZI wa Simba leo ukiongozwa na Mtendaji Mkuu, Senzo Mbatha, leoumeytia timu Bungeni, Dodoma.
Simba ipo kwenye mchakato wa kuzindua matumizi ya kadi za mashabiki.
Saa 4 asubuhi walikuwa kwenye tawi la benki ya Equity Uhindini katika uzinduzi wa Kadi za Mashabiki Kanda ya Kati ambapo Mgeni Rasmi alikuwa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai

Post a Comment