Dakika 90 zimemalizika katika uwanja wa taifa kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Mechi hiyo iliyokuwa ya Kombe la Shirikisho, imeshuhudiwa mabao ya Yanga yakiwekwa kimiani na Bernard Morrison aliyefungwa kwa njia ya penati pamoja na Yikpe Gnemien.
Uhsindi huo umewafanya Yanga kusonga mbele ambapo hivi sasa wataweza kukutana na Gwambina FC katika mechi ijayo
Post a Comment