Shabiki na Mwanachama Kindakindaki wa Yanga Jimmy Kindoki amesema kuwa Bernard Morrison ni mchezaji mzuri ambaye amekuja kufanya makubwa katika klabu ya Yanga ikiwemo kuifanya Timu yake ipate ushindi.
Morrison ameendelea kujadiliwa katika mitandao ya kijamii baada ya jana kufanya mbwembwe katika mchezo wao dhidi ya Tanzania Prison na hivyo kuwaacha mashabiki wengi wa soka wakiwa wanajadili
Post a Comment