Bodi ya ligi kupitia kwa kamati ya saa 72 imemuondoa kwenye orodha ya waamuzi, Amon Gombeza aliyechezesha mechi ya ligi daraja la pili baina ya DTB na Tukuyu Star na kwa kosa la kuanzisha mchezo huo bila kuwepo gari la wagonjwa (ambulance) mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
VIDEO: Ambulance yamponza mwamuzi, apigwa 'STOP' kuchezesha mechi yoyote

Post a Comment