Timu ya soka ya simba imeonyesha kusikitishwa na tuhuma iliyotolewa na goli kipa wa Yanga Ramadhani Kabwili na kusema kuwa kauli hiyo ni ya kuchukiza na sio ya hesima.
Klabu hiyo imezipinga tuhuma hizo na kukemea vikalina kuzitaka mamlaka husika kuchuku hatua za haraka kufuatilia suala hili ambalo kwa namna yoyote inaweza kuipeleka pabaya simba na hata mamlaka husika kwa ujumla endapo litapuuziwa.
Post a Comment