Kamati ya saa 72 kupitia kwa Makamu Mkurugenzi wa Bodi ya Ligi, Ibrahim Mwanyela, ametoa mustakabali wa Bodi ya Ligi na Maamuzi waliofanya kwenye Mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na Ligi Daraja la kwanza ambapo moja ikiwa mchezo uliowakutanisha Simba SC na Yanga SC na kubaini mapungufu kwenye mchezo huo.
VIDEO: Mwamuzi aliyechezasha mechi ya Simba na Yanga matatani

Post a Comment