RASMI: YANGA WAZIFUATA NYAYO ZA SIMBA Admin 6:58 PM A+ A- Print Email Mwenyekiti wa timu ya Yanga anapenda kuwatangazia wanachama wote kuwa kutakuwa na Mkutano Mkuu wa Dharura wa wanachma wa Klabu utakaofanyika Jumapili 16/02/2020 kuanzia saa nne asubuhi.
Post a Comment