Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Tanzania kusajiliwa na club ya ligi kuu ya Uingereza. Amesaini mkataba wa kuichezea Aston Villa kwa miaka minne na nusu. Watanzania wengi wamefurahi wakiwemo wasanii, waigizaji, wanasiasa, lakini umegundua kuwa Wachezaji wenzake wengi hawajasema kitu? Nini sababu? Tunajadili kwenye
VIDEO:
VIDEO:
Post a Comment