UONGOZI wa Simba kupitia Ukurasa wake wa Instagram umetoa taarifa kuhusu wachezaji wake wapya ambao imewasajili kwenye dirisha dogo.

Simba iliwasajili viungo viwili ambao ni Luis Miquissone na Shiza Kichuya wote viungo.

Kuhusu Luis Miquissone taarifa imeeleza kuwa ITC yake bado haijafika (jambo hilo limeshafikishwa FIFA na linafanyiwa kazi)

Shiza Kichuya pia ITC yake bado haijafika (klabu ya Pharcos ya Misri bado haijajibu maombi yetu ya kutuma ITC

Post a Comment

Author Name

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.