Home
Unlabelled
MSUVA APATA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA LIGI
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Saimon Msuva ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa klabu Difaa El Jadidi , inayoshiriki Ligi Kuu Morocco kwa msimu uliopita.
Msuva amepewa tuzo hiyo katika hafla ya klabu ya Difaa El Jadidi ambayo imefanyika usiku wa Jana.
Post a Comment