Amecheza jumla ya dakika 1,111 ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 69.
Pia nyota huyo ametoa jumla ya assisti tatu. Yupo nafasi ya pili kwa watupiaji ndani ya Ligi Kuu England.
Manchester City ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 51 na imefunga jumla ya mabao 65
Post a Comment