Yanga yaahirisha mkutano mkuu wa dharura Admin 3:42 AM A+ A- Print Email Mwenyekiti wa timu ya soka ya Yanga kwa kushirikiana na kamati ya utendaji ya timu hiyo wamehairisha mkutano mkuu wa dharura uliokuwa ufanyike februari, 16 mwaka huu.
Post a Comment