Home
Unlabelled
ARTETRA ALETA BEKI KISIKI NDANI YA ARSENAL
Klabu ya Arsenal imefanikiwa kumsajili beki Pablo Mari kutoka Flamengo kwa mkopo.Thamani ya beki huyo ni £12m, ila Arsenal wamelipa £4m kama ada ya mkopo ambapo kunakipengele cha kumnunua jumla majira ya kiangazi kwa £8m.
Post a Comment