Home
Unlabelled
THOMAS ULIMWENGU KUIBUKIA TP MAZEMBE
IMEELEZWA kuwa, Mtanzania Thomas Ulimwengu amejiunga na Klabu yake ya zamani ya TP Mazembe aliyesepa klabuni hapo 2016.
Taarifa zinaeleza kuwa nyota huyo aliyekuwa anakipiga JS Saora ameseaini kandarasi ya miaka miwili
Post a Comment